Prayer for thankgiving ,guidance and protection

by Diana ()

Thank you Jesus for your love toward me and my family,I Thank you Jesus for being with me everyday and making me a head and not a tail.Jesus nakushukuru kwa kunipangia kazi ktk Muse nakuomba uniongoze niifanye kazi yangu kwa usahihi na niweze uelewa mfumo,nisaidie niendelee kuwa kichwa na sio mkia,niongoze katika shule yangu bwana Yesu nitetee nisikamatwe ktk hili lililotokea na kufutiwa au kurudia mtihani,nifunike kwa damu yako takatifu nivushe na hata nisifutiwe matokeo nisaidie niweze kusonga mbele bwana Yesu.Niongoze katika propasal yangu niweze defend bila woga na kupita na nisaidie pia ktk research yangu.Niongoze niwe na mahusiano mazuri na maboss wangu na wainue wanitetee katika mshahara wangu,waweze kuguswa na kunirekebishiwa top up yangu na uniinue niweze pata fursa na miradi yenye pesa niongoze katika kazi zangu zote.damu yako takatifu inifunike na inilinde ahsante bwana Yesu kwa upendo wako kwangu na familia yangu,walinde wanangu waponye na magonjwa yote.Tusaidie bwana Yesu,Tulinde tujalie maisha marefu yenye baraka tele.damu yako takatifu itulinde.Mbariki Mume wangu,mlinde. Ahsante Yesu ,sifa kwako Yesu.Amina

Return to A Prayer for Family

Leave a Reply for "Prayer for thankgiving ,guidance and protection"

Your email address will not be published. Required fields are marked *
By posting your comment, you agree to the submission agreement.